Ezekiel 23:14-17

14 a“Lakini yeye akazidisha ukahaba wake. Akaona wanaume waliochorwa ukutani, picha za Wakaldayo
Wakaldayo yaani Wababeli.
waliovalia nguo nyekundu,
15 cwakiwa na mikanda viunoni mwao na vilemba vichwani mwao, wote walifanana na maafisa wa Babeli wapandao magari ya vita, wenyeji wa Ukaldayo.
Ukaldayo yaani Babeli.
16 eMara tu alipowaona, aliwatamani, akatuma wajumbe kwao huko Ukaldayo. 17 fNdipo hao Wababeli wakaja kwake kwenye kitanda cha mapenzi, nao katika tamaa zao wakamtia unajisi. Baada ya kutiwa unajisi, akawaacha kwa kuwachukia.
Copyright information for SwhNEN